a
2Nya 28:24
2 Chronicles 29:19
19
a
Tumeviandaa na kuvitakasa vyombo vyote vile ambavyo Mfalme Ahazi, kwa kukosa uaminifu kwake, aliviondoa wakati alipokuwa mfalme. Sasa viko mbele ya madhabahu ya
Bwana
.”
Copyright information for
SwhNEN